Abiria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Hawa ni abiria wakisubiri treni.

Abiria (kutoka neno la Kiarabu) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, pikipiki n.k.

Abiria hao hawana vyombo vyao vya moto, ndiyo maana hupanda vyombo vya moto vya watu wengine.

Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani cha pesa ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na kondakta wake aliowaajiri na kuweka mafuta kwenye chombo chake cha moto.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abiria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.