Nenda kwa yaliyomo

Dereva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Huyu ni dereva au rubani wa ndege za vita.

Dereva (kutoka Kiingereza "driver") ni mtu ambaye anakiongoza chombo cha moto kwenda mahala fulani. Dereva huwaendesha abiria sehemu wanayotaka mpaka pale anapoishia yeye alipangiwa au alipopanga kuishia.

Dereva anapokuwa barabarani huwa makini maana madereva wengi husababisha ajali na hatimaye vifo kwa sababu ndogo zisizoeleweka, halafu wakishasabisha ajali hukimbia kusikojulikana.

Huyu ni dereva wa bajaji.

Dereva naye hulipwa pale anapofanya kazi au hujilipa mwenyewe kwa kula na familia yake au kama hana familia hujihudumia kwa malazi, chakula n.k.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dereva kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.