Nenda kwa yaliyomo

Ethiopian Airlines

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ethiopian Airlines
IATA
ET
ICAO
ETH
Callsign
ETHIOPIAN
Kimeanzishwa 1945
Vituo vikuu Bole International Airport
Programu kwa wateja wa mara kwa mara Sheba Miles
Ndege zake 45 (+39 orders)
Shabaha 74(57 international and 17 domestic) [1]
Nembo Africa's World Class Airline
Makao makuu Bole International Airport
Addis Ababa, Ethiopia
Watu wakuu Mesfin Tasew Bekele (Chairman), Girma Wake (CEO)
Tovuti www.ethiopianairlines.com

Ethiopian Airlines ni kampuni ya ndege iliyo na makao yake makuu kwenye uwanja wa ndege wa Bole mjini Addis Ababa.[2]

Ndiyo kuu nchini Ethiopia, ikisafirisha hadi zaidi ya miji 50 kote duniani.

Historia

[hariri | hariri chanzo]
Ndege ya Ethiopian Airlines Boeing 757-200 kwenye uwanja wa ndege wa London Heathrow (1998)

Ethiopian Airlines ilianzishwa na Haile Selassie mnamo 29 Desemba 1945. Ingawa ilitegemea rubani na wafanyakazi wa kutoka Marekani, baada ya miaka 25 ilianza kuajiri wafanyakazi wa kutoka Ethiopia.

Miji inayosafiria

[hariri | hariri chanzo]
Nddege ya Ethiopian Airlines Boeing 757-200 ikishuka kwenye uwanja wa ndege wa London Heathrow (2009)
Ethiopian Airlines Boeing 767-300ER ikishuka kwenye uwanja wa ndege wa London Heathrow (2006)
Ethiopian Airlines Fokker 50 ndani ya Lalibela Airport, nchini Ethiopia. (2006)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]