Liège

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chemchemi ya Le Perron, ishara ya mji

Liège (kwa Kiwallonia Lîdje, Kiholanzi Luik, Kijerumani Lüttich) ni mji mkubwa wa jimbo la Wallonia katika nchi ya Ubelgiji. Kuna wakazi 194,000 na wengi wao ni wasemaji wa lugha ya Kifaransa. Kuanzia 972 hadi 1795 ilikuwa mji mkuu wa utemi ndani ya Dola Takatifu la Kiroma uliotawaliwa na maaskofu wa Liege.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ubelgiji bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Liège kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: