Douala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanamu ya Uhuru jijini Douala
Douala katika Kamerun

Douala ni mji mkubwa wa Kamerun ikiwa na wakazi 1,338,144 (2005). Iko kilometa 24 kutoka bahari kwenye mdomo pana wa mto Wouri unaokomea kwenye Ghuba ya Guinea ya Atlantiki. Bandari yake inaifanya kuwa kitovu cha uchumi wa Kamerun.

Wakati wa ukoloni wa Kijerumani ilikuwa mji mkuu wa Kamerun.

Panorama-Douala-20141203 154218-PANO.jpg

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Douala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.