Qatar Airways

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Qatar Airways
IATA
QR
ICAO
QTR
Callsign
QATARI
Kimeanzishwa 22.11.1993
Ilianza huduma 20.01.1994
Programu kwa wateja wa mara kwa mara Qatar Airways Privilege Club
Muungano Oneworld
Ndege zake 234
Shabaha 173
Makao makuu Qatar Airways Towers, Doha, Qatar
Tovuti https://qatarairways.com

Qatar Airways Company Q.C.S.C. ni shirika la ndege la kimataifa linalotoa huduma za usafiri wa anga duniani. Ndiyo shirika kuu la nchi ya Qatar, Uarabuni, ikiwa na makao yake mjini Doha. Ni moja kati ya ndege sita zilizotuzwa nyota tano na Skytrax, zikiwemo Kingfisher Airlines, Cathay Pacific, Asiana Airlines na Singapore Airlines.[1]Wengi hupenda kutumia shirika hili kwa huduma za usafiri.

Miji inayosafiria[hariri | hariri chanzo]

Afrika[hariri | hariri chanzo]

Afrika Kaskazini[hariri | hariri chanzo]

Afrika Kusini[hariri | hariri chanzo]

Afrika Mashariki[hariri | hariri chanzo]

Afrika Magharibi[hariri | hariri chanzo]

Asia[hariri | hariri chanzo]

Asia Mashariki[hariri | hariri chanzo]

Asia Kusini[hariri | hariri chanzo]

Asia Kusini-Mashariki[hariri | hariri chanzo]

Asia Kusini-Magharibi[hariri | hariri chanzo]

Ulaya[hariri | hariri chanzo]

Amerika Kaskazini[hariri | hariri chanzo]

Oceania[hariri | hariri chanzo]

Ndege zake[hariri | hariri chanzo]

Qatar Airways aina ya Airbus A330-300 kwenye uwanja wa ndege ya Manchester Airport, UK
Qatar Airways aina ya Boeing 777-300ER ndani ya Doha International Airport, nchini Qatar
Boeing 777-300ER ikishuka

Ndege za Qatar Airways ni:

Qatar Airways[4]
Ndege Jumla Zilizowekwa oda Wasafirill>(First/Business/Economy) Itakapoanza kazi
Airbus A300-600RF 3 0 Cargo Inafanya kazi
Airbus A319-100LR 2 0 110 (8/0/102) Inafanya kazi
Airbus A319-100CJ 1 0 36 (16/20/0) Inafanya kazi
Airbus A320-200 13 18 144 (12/0/132) Inafanya kazi
Airbus A321-200 8 4 177 (0/12/165)
196 (0/0/196)
Inafanya kazi
Airbus A330-200 16 0 228 (12/24/192)
232 (8/24/200)
260 (0/24/236)
272 (0/24/248)
Inafanya kazi
Airbus A330-300 13 0 259 (12/24/223)
305 (0/30/275)
Inafanya kazi
Airbus A340-600 4 0 266 (8/42/216)
306 (8/42/256)
Inafanya kazi
Airbus A350-800 0 20 TBD mwaka wa 2014
Airbus A350-900 0 40 TBD mwaka wa 2014
Airbus A350-1000 0 20 TBD mwaka wa 2015
Airbus A380-800 0 5 TBD mwaka wa 2012
Boeing 777-200LR 5 3 259 (0/42/217) Inafanya kazi
Boeing 777-300ER 8 22 335 (0/42/293) Inafanya kazi
Boeing 777F 0 3 Cargo mwaka wa 2010
Boeing 787-8 0 30 TBD mwaka wa 2011
Bombardier Challenger 300 1 0 7 (7/0/0) Inafanya kazi
Bombardier Challenger 600 2 0 11 (11/0/0) Inafanya kazi
Jumla 76 167

Ndani ya ndege[hariri | hariri chanzo]

Ndege karibu zote zina video kwenye kila kiti. Qatar Airways imeanzisha viti vinavyogeuka kuwa vitanda kwenye Business Class kwenye ndege ya aina za Boeing 777-300ER na Boeing 777-200LR.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-30. Iliwekwa mnamo 2010-01-21. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-21. Iliwekwa mnamo 2010-01-21. 
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-09. Iliwekwa mnamo 2010-01-21. 
  4. Qatar Airways Fleet - Official Website