Nenda kwa yaliyomo

Malé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Malé


Jiji la Malé
Nchi Maldivi

Malé ni mji mkuu wa jamhuri ya Maldivi. Ina wakazi 81,647 (2004).

Mji upo kwenye kisiwa cha Malé. Kuna bandari na ofisi za serikali. Uwanja wa ndege wa Malé uko karibu na kisiwa cha Hulhule.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Malé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: