Bangalore
Jump to navigation
Jump to search
Jiji la Bangalore | |
Mahali pa mji wa Bangalore katika Uhindi | |
Majiranukta: 12°58′N 77°34′E / 12.967°N 77.567°E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Karnataka |
Wilaya | Bangalore Mjini (Bangalore Urban) |
Idadi ya wakazi | |
- | 5,840,155 |
Tovuti: www.bbmp.gov.in |
Bangalore ni jina la mji mkuu wa jimbo la Karnataka katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 6 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 920 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi Archived Februari 25, 2010 at the Wayback Machine.
|
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bangalore kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |