Nenda kwa yaliyomo

Dehradun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa DehradunJiji la Dehradun
Jiji la Dehradun is located in Uhindi
Jiji la Dehradun
Jiji la Dehradun

Mahali pa mji wa Dehradun katika Uhindi

Majiranukta: 30°19′0″N 78°3′0″E / 30.31667°N 78.05000°E / 30.31667; 78.05000
Nchi Uhindi
Jimbo Uttarakhand
Wilaya Dehradun
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 447,808
Tovuti:  dehradun.nic.in

Dehradun ni jina la mji mkuu wa jimbo la Uttarakhand katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 450,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 657 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dehradun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.