Srinagar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Srinagar ni jiji la Jimbo la Jammu na Kashmir nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.2 (2011). Ni mji mkubwa wa thelathini na mbili nchini Uhindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Srinagar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.