Nenda kwa yaliyomo

Thelathini na mbili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thelathini na mbili ni namba inayoandikwa 32 kwa tarakimu za kawaida na XXXII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 31 na kutangulia 33.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 2 x 2 (au 25).

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thelathini na mbili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.