Nenda kwa yaliyomo

Agartala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa AgartalaJiji la Agartala
Jiji la Agartala is located in Uhindi
Jiji la Agartala
Jiji la Agartala

Mahali pa mji wa Agartala katika Uhindi

Majiranukta: 23°30′0″N 91°12′0″E / 23.50000°N 91.20000°E / 23.50000; 91.20000
Nchi Uhindi
Jimbo Tripura
Wilaya Tripura Magharibi (West Tripura)
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 367,822
Tovuti:  agartalacity.nic.in

Agartala ni jina la mji mkuu wa jimbo la Tripura katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2004, mji una wakazi wapatao 370,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 16 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Agartala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.