Aizawl

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu za Mji wa AizawlAizawl
Aizawl is located in Uhindi
Aizawl
Aizawl

Mahali pa mji wa Aizawl katika Uhindi

Majiranukta: 23°25′0″N 92°25′0″E / 23.41667°N 92.41667°E / 23.41667; 92.41667
Nchi Uhindi
Jimbo Mizoram
Wilaya Aizawl
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 228,280
Tovuti:  aizawl.nic.in

Aizawl ni jina la mji mkuu wa jimbo la Mizoram katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 230,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1132 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aizawl kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.