Gangtok

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa Mji wa GangtokJiji la Gangtok
Jiji la Gangtok is located in Uhindi
Jiji la Gangtok
Jiji la Gangtok

Mahali pa mji wa Gangtok katika Uhindi

Majiranukta: 27°19′48″N 88°37′12″E / 27.33000°N 88.62000°E / 27.33000; 88.62000
Nchi Uhindi
Jimbo Sikkim
Wilaya Sikkim Mashariki (East Sikkim)
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 29,162

Gangtok ni jina la mji mkuu wa jimbo la Sikkim katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 30,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1437 kutoka juu ya usawa wa bahari.


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gangtok kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.