Zürich
Mandhari

Zürich ni mji mkuu wa Jimbo la Zürich nchini Uswisi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 382,000.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Zürich kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |