Jimbo la Zürich
Jump to navigation
Jump to search
Jimbo la Zürich (Kijerumani: Kanton Zürich) ni jimbo liliopo nchini Uswisi. Jimbo lina wakazi takriban milioni 1.3 (kwa sensa ya mwaka wa 2007).[1] Jimbo lipo upande wa kaskazini-mashariki mwa Uswisi na mji mkuu wake ni Zürich. Lugha rasmi ya jimboni hapa ni Kijerumani, lakini watu waioshio hapa huzungumza lahaja ya lugha ya kienyeji ya Kiswisi Kijerumani iitwayo Züritüütsch.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Federal Department of Statistics (2008). Ständige Wohnbevölkerung nach Staatsangehörigkeit, Geschlecht und Kantonen (Microsoft Excel). Iliwekwa mnamo 5 Novemba 2008.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Zürich kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
![]() |
|
---|---|
Aargau | Appenzell Ausserrhoden | Appenzell Innerrhoden | Bern | Basel | Basel (mji) | Fribourg | Glarus | Geneva | Graubünden | Jura | Lucerne | Neuchâtel | Nidwalden | Obwalden | Schwyz | Solothurn | Schaffhausen | St. Gallen | Thurgau | Ticino | Uri | Valais | Vaud | Zürich | Zug |