Uwanja wa ndege wa Tabora
Mandhari
| Uwanja wa ndege wa Tabora English: Tabora Airport | |||
|---|---|---|---|
| IATA: TBO – ICAO: HTTB – WMO: 63832 | |||
| Muhtasari | |||
| Aina | Matumizi ya Umma | ||
| Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
| Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
| Mahali | Tabora, Tanzania | ||
| Mwinuko Juu ya UB |
3,868 ft / 1,179 m | ||
| Anwani ya kijiografia | 05°04′34″S 32°49′50″E / 5.07611°S 32.83056°E | ||
| Ramani | |||
| Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
| Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
| Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
| m | ft | ||
| 13/31 | 1,786 | 5 860 | Changarawe1 |
| 08/26 | 1,555 | 5 102 | Changarawe |
| Takwimu (2006) | |||
| Harakati za ndege | 2,360 | ||
| 1 kinaboreshwa kwa kiwango cha lami | |||
Uwanja wa ndege wa Tabora (IATA: TBO, ICAO: HTTB) ni kiwanja cha ndege kinacho hudumia mji wa Tabora nchini Tanzania.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
| Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |