Uwanja wa ndege wa Tanga
Mandhari
Uwanja wa ndege wa Tanga English: Tanga Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: TGT – ICAO: HTTG – WMO: 63844 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Tanga, Tanzania | ||
Mwinuko Juu ya UB |
129 ft / 39 m | ||
Anwani ya kijiografia | 5°5′31.52″S 39°4′18″E / 5.0920889°S 39.07167°E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
06/24 | 1,255 | 4 117 | Lami |
14/32 | 1,388 | 4 554 | Udongo/Nyasi |
Takwimu (2003) | |||
Idadi ya abiria | 5,865 |
Uwanja wa ndege wa Tanga (IATA: TGT, ICAO: HTTG) ni kiwanja cha ndege kinachohudumia mji wa Tanga nchini Tanzania.
Kiwanja hiki kiko kilomita 5 (maili 3.1) kusini magharibi mwa mji. Maruko la ndege kiratiba zimepangwa kuelekea miji wa Arusha na Dar es Salaam; na visiwa vya Pemba na Unguja.
Makampuni ya ndege na vifiko
[hariri | hariri chanzo]Makampuni ya ndege | Vifiko |
---|---|
Auric Air | Dar es Salaam, Pemba, Zanzibar (yaanza 1 June 2013)[1] |
Coastal Aviation | Arusha, Dar es Salaam, Pemba, Zanzibar[2] |
Tropical Air | Arusha, Dar es Salaam, Pemba, Zanzibar[3] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑
"Ratiba ya Usafiri" (PDF). Auric Air. Aprili 2013. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ratiba ya Usafiri" (PDF). Coastal Aviation. 16 Desemba 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-06-16. Iliwekwa mnamo 26 Januari 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ratiba ya Usafiri" (PDF). Tropical Air. Julai 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-12-24. Iliwekwa mnamo 26 Januari 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |