Uwanja wa ndege wa Mafia
Mandhari
Uwanja wa ndege wa Mafia English: Mafia Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: MFA – ICAO: HTMA – WMO: 63895 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Mafia, Tanzania | ||
Mwinuko Juu ya UB |
60 ft / 18 m | ||
Anwani ya kijiografia | 07°54′50″S 39°40′40″E / 7.91389°S 39.67778°E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
15/33 | 1,500 | 4 921 | Lami |
Uwanja wa ndege wa Mafia (IATA: MFA, ICAO: HTMA) ni kiwanja cha ndege kinachohudumia kisiwa cha Mafia nchini Tanzania.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |