Uwanja wa ndege wa Pemba
Mandhari
Uwanja wa ndege wa Pemba / Karume English: Pemba / Karume Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: PMA – ICAO: HTPE – WMO: 63845 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar | ||
Mahali | Pemba, Tanzania | ||
Mwinuko Juu ya UB |
80 ft / 24 m | ||
Anwani ya kijiografia | 05°15′30″S 39°48′40″E / 5.25833°S 39.81111°E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
03/21 | 1,517 | 4 977 | Lami |
Uwanja wa ndege wa Pemba / Karume (IATA: PMA, ICAO: HTPE) ni kiwanja cha ndege kinachohudumia kisiwa cha Pemba nchini Tanzania.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |