Uwanja wa ndege wa Songwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uwanja wa ndege wa Songwe
Kiingereza: Songwe Airport
Songwe Airport.jpg
IATA: noneICAO: HTGW
Muhtasari
Aina Matumizi ya Umma
Mmiliki Serikali ya Tanzania
Opareta Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania
Mahali Mkoa wa Mbeya
Mwinuko 
Juu ya UB
4,412 ft / 1,345 m
Anwani ya kijiografia
Ramani
HTGW is located in Tanzania
HTGW
HTGW
Mahali ya uwanja nchini Tanzania
Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
m ft
09/27 3,330 10,925 Lami

Uwanja wa ndege wa Songwe (ICAO: HTGW) ni kiwanja cha ndege kinacho hudumia mji wa Mbeya nchini Tanzania.

Makampuni ya ndege na vifiko[hariri | hariri chanzo]

Makampuni ya ndege Vifiko 
Auric Air Dar es Salaam, Iringa, Sumbawanga
Precision Air Dar es Salaam

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]