Sumbawanga (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sumbawanga
Sumbawanga is located in Tanzania
Sumbawanga
Sumbawanga
Mahali pa mji wa Sumbawanga katika Tanzania
Majiranukta: 7°57′36″S 31°37′12″E / 7.96°S 31.62°E / -7.96; 31.62
Nchi Tanzania
Mkoa Rukwa
Wilaya Sumbawanga Mjini
Idadi ya wakazi (2002)
 - 147,483
Soko mjini Sumbawanga mwaka 2009

Sumbawanga ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Rukwa.

Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 147,483 [1].

Kabila maarufu mkoani ni la Wafipa wakitumia lugha ya Kifipa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Rukwa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sumbawanga (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.