Air Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Air Tanzania
IATA
TC
ICAO
ATC
Callsign
TANZANIA
Kimeanzishwa 1977
Hubs Julius Nyerere International Airport
Ndege zake 3
Shabaha
Nembo Wings of Kilimanjaro
Parent company Serikali ya Tanzania
Makao makuu Dar es Salaam, Tanzania
Watu wakuu David Mattaka (MD), (CEO)
Tovuti http://www.airtanzania.com

Air Tanzania ni kampuni ya ndege ya taifa la Tanzania. Shirika la Ndege la Tanzania linahudumia vituo vinane - vitano ndani ya nchi na vituo vitatu vya kimataifa. Dar es Salaam hutumika kama kiungio cha safari za anga kati ya viwanja vya ndege vya Entebbe, Hahaya, Johannesburg, Mwanza, Kilimanjaro, Mtwara na Zanzibar. Inatua Dar es salaam, na ndege zote za Air Tanzania zinafungwa hapo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Air Tanzania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.