Ngara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Ngara (kijani) katika mkoa wa Kagera.

Wilaya ya Ngara ni wilaya moja ya Mkoa wa Kagera. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 334,939 [1].

Marejeo :Wilaya ya Ngara ni moja kati ya wilaya za Mkoa wa Kagera.Idadi ya watu wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa ni 334,939[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Ngara - Mkoa wa Kagera - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bugarama | Bukiriro | Kabanga | Kanazi | Keza | Kibimba | Kirushya | Mabawe | Muganza (Ngara) | Mugoma | Murusagamba | Ngara Mjini | Ntobeye | Nyakisasa | Nyamiyaga | Rulenge | Rusumo


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ngara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.