Mparachichi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Maparachichi)
Mparachichi (Persea americana) | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mparachichi
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Mparachichi au mwembe-mafuta (Kiing. avocado, Kilatini Persea americana) ni mti wenye majani na matunda makubwa ambao hupandwa mahali pote pa tropiki na nusutropiki. Huitwa mpea pia lakini afadhali jina hili litumiwe kwa miti ya jenasi Pyrus. Matunda yake (maparachichi au maembe mafuta) yana mafuta mengi.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Jani
-
Shada la maua
-
Maua
-
Parachichi
-
Parachichi lililokatika juu chini