Mpea
Mandhari
(Elekezwa kutoka Pyrus)
Mpea (Pyrus spp.) | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kiunga cha mipea
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Mipea au mipeasi ni miti midogo wa jenasi Pyrus katika familia Rosaceae. Matunda yao huitwa mapea. Jina "mpea" hutumika kwa Persea americana pia lakini afadali jina "mparachichi" litumike kwa mti huu. Asili ya mipea ni kanda ya kaskazini ya wastani na nusutropiki kutoka Ulaya ya Magharibi na Afrika ya Kaskazini mpaka Asia ya Mashariki. Spishi mbalimbali zinapandwa katika maeneo ya hewa ifaayo ili kuvuna matunda yao. Nyingine zinapandwa katika bustani.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Pyrus amygdaliformis, Mpea Majani-mlozi (Almond-leaved pear)
- Pyrus armeniacifolia, Mpea Majani-mwaprikoti (Apricot-leaved pear)
- Pyrus boissieriana (Pyrus boissieriana)
- Pyrus bourgaeana, Mpea wa Iberia (Iberian pear)
- Pyrus × bretschneideri, Mpea Mweupe wa Uchina (Chinese white pear) - pengine inaainishwa kama nususpishi ya Pyrus pyrifolia
- Pyrus calleryana, Mpea wa Callery (Callery pear)
- Pyrus caucasica, Mpea-mwitu wa Kaukazi (Caucasian wild pear)
- Pyrus communis, Mpea wa Ulaya (European pear)
- Pyrus cordata, Mpea wa Plymouth (Plymouth pear)
- Pyrus cossonii, Mpea wa Aljeria (Algerian pear)
- Pyrus dimorphophylla (Pyrus dimorphophylla)
- Pyrus elaeagrifolia, Mpea Majani-oleaster (Oleaster-leaved pear)
- Pyrus fauriei (Pyrus fauriei)
- Pyrus gharbiana (Pyrus gharbiana)
- Pyrus glabra (Pyrus glabra)
- Pyrus hondoensis (Pyrus hondoensis)
- Pyrus kawakamii (Pyrus kawakamii)
- Pyrus koehnei (Evergreen pear of southern China and Taiwan)
- Pyrus korshinskyi (Pyrus korshinskyi)
- Pyrus mamorensis (Pyrus mamorensis)
- Pyrus nivalis, Mpea-theluji (Snow pear)
- Pyrus pashia, Mpea wa Afghanistan (Afghan pear)
- Pyrus × phaeocarpa (Pyrus × phaeocarpa)
- Pyrus pseudopashia (Pyrus pseudopashia)
- Pyrus pyraster, Mpea-mwitu wa Ulaya (European wild pear)
- Pyrus pyrifolia Nashi au Mpea wa Asia (Nashi pear au Asian pear)
- Pyrus regelii (Pyrus regelii)
- Pyrus salicifolia (Willow-leaved pear)
- Pyrus × serrulata (Pyrus × serrulata)
- Pyrus × sinkiangensis (Pyrus × sinkiangensis) — labda chotara kati ya P. ×bretschneideri na P. communis
- Pyrus syriaca, Mpea wa Siria (Syrian pear)
- Pyrus ussuriensis, Mpea wa Siberia (Siberian pear, Ussurian pear, Harbin pear au Manchurian pear)
- Pyrus xerophila (Pyrus xerophila)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Majani
-
Maua
-
Mapea mtini
-
Mapea yaliyovunwa
-
Mpea majani-mlozi
-
Mpea wa Callery
-
Mpea-mwitu wa Kaukazi
-
Mpea-theluji
-
Mpea-mwitu wa Ulaya
-
Nashi
-
Mpea wa Siria