Ngara
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Ngara)
Jump to navigation
Jump to search

Mahali pa Ngara (kijani) katika mkoa wa Kagera.
Wilaya ya Ngara ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kagera, kaskazini mwa Tanzania, yenye postikodi namba 35700 [1].
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 320,056 [2].
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
- ↑ Sensa ya 2012, Kagera - Ngara-District-Council
![]() |
Kata za Wilaya ya Ngara - Mkoa wa Kagera - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bugarama | Bukiriro | Kabanga | Kanazi | Kasulo | Keza | Kibimba | Kirushya | Mabawe | Mbuba | Ngara | Mugoma | Murukulazo | Murusagamba | Ngara Mjini | Ntobeye | Nyakisasa | Nyamiyaga | Rulenge | Rusumo |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ngara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |