Masasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Masasi (kijani) katika mkoa wa Mtwara.

Wilaya ya Masasi ni wilaya moja ya Mkoa wa Mtwara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 442,573 [1]. kaskazini,

Masasi ni wilaya kubwa ya Mtwara inapakana na Mkoa wa Lindi upande wa kaskazini, Mkoa wa Ruvuma upande wa magharibi na nchi ya Msumbiji upande wa kusini. Upande wa mashariki kuna mpaka na wilaya ya Newala.


Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Masasi - Tanzania
Kata zifuatazo bado ni pamoja na zile za wilaya mpya ya Nanyumbu.
Ukijua ni kata zipi zilizopelekwa Nanyumbo saidia kuhariri kigezo hiki kwa kubonyeza hapa
Flag of Tanzania.svg

Chigugu | Chipuputa | Chiungutwa | Chiwata | Likokona | Lipumburu | Lisekese | Lukuledi | Lulindi | Lumesule | Maratani | Marika | Masasi | Masuguru | Mbuyuni | Mchauru | Mikangaula | Mkonona | Mkululu | Mkundi (Masasi) | Mnavira | Mpindimbi | Mwena | Namajani | Namalenga | Namatutwe | Nandete | Nanganga | Nangomba | Nanjota | Nanyumbu | Napacho | Sengenya | Sindano


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mtwara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Masasi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.