John Samwel Malecela
(Elekezwa kutoka John Samuel Malecela)
Jump to navigation
Jump to search
John Samwel Malecela (amezaliwa tar. 20 Aprili 1934) ni mbunge wa jimbo la Mtera katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Pia alishawahi kuwa Naibu Mwenyekiti wa CCM (2005-2009), Waziri Mkuu (1990-1994), Kamishina Mkuu wa Tanzania huko Uingereza (1989-1999), Waziri wa Utamaduni Chakula na Usalama (1975-1980), na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (1972-1975).
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
Ofisi za Kisiasa | ||
---|---|---|
Alitanguliwa na Joseph Sinde Warioba |
Waziri Mkuu wa Tanzania 1990-1994 |
Akafuatiwa na Cleopa David Msuya |
Alitanguliwa na Salim Ahmed Salim |
Makamu wa Rais wa Tanzania 1990-1994 |
Akafuatiwa na Cleopa David Msuya |
Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Samwel Malecela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |