John Samwel Malecela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Samwel Malecela (amezaliwa tar. 20 Aprili 1934) ni mbunge wa jimbo la Mtera katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Pia alishawahi kuwa Naibu Mwenyekiti wa CCM (2005-2009), Waziri Mkuu (1990-1994), Kamishina Mkuu wa Tanzania huko Uingereza (1989-1999), Waziri wa Utamaduni Chakula na Usalama (1975-1980), na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (1972-1975).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [Mengi kuhusu John Samwel Malecela. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-06-18. Iliwekwa mnamo 2010-11-13. Mengi kuhusu John Samwel Malecela]
Ofisi za Kisiasa
Alitanguliwa na
Joseph Sinde Warioba
Waziri Mkuu wa Tanzania
1990-1994
Akafuatiwa na
Cleopa David Msuya
Alitanguliwa na
Salim Ahmed Salim
Makamu wa Rais wa Tanzania
1990-1994
Akafuatiwa na
Cleopa David Msuya

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Samwel Malecela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.