Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (kiingereza: Open University of Tanzania) kilianzishwa kwa Sheria ya Bunge Nmba 17 ya 1992. Ni chuo kimoja kinachotoa kozi za cheti, stashahada na shahada kupita masomo ya mbali (Distance Learning). Makao Makuu yako Dar es Salaam, Tanzania.

Kitivo[hariri | hariri chanzo]

Iko na:

  • Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Jamii
  • Kitivo cha Elimu
  • Kitivo cha Sheria
  • Kitivo cha Uongozi wa Biashara
  • Kitivo cha Sayansi, Teknolojia na Masomo ya Mazingira
  • Taasisi ya kuyaendeleza masomo
  • Taasisi ya Teknolojia ya Elimu
  • Kurugenzi ya Huduma za Mikoa
  • Kurugenzi ya Utafiti na Masomo ya baada ya Shahada


Shule hii inafanya shughuli zake kupitia sehemu 25 na vituo 69 vya Masomo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.