Vedastus Mathayo Manyinyi
Mandhari
Vedastus Mathayo Manyinyi (amezaliwa tar. - ) ni mbunge wa jimbo la Musoma Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Alikuwa mbunge mara ya kwanza miaka 2005-2010 alirudi tena mwaka 2015[2] Amehitimu katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Ilihifadhiwa 26 Januari 2020 kwenye Wayback Machine.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mengi kuhusu Vedastus Mathayo Manyinyi". 17 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 26 Januari 2020 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vedastus Mathayo Manyinyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |