Mashimba Mashauri Ndaki
Mandhari
Mashimba Mashauri Ndaki ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Maswa Magharibi kwa miaka 2015 – 2020. [1] Mwaka 2020 alichaguliwa na Rais John Magufuli kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |