Maswa
Jump to navigation
Jump to search
Wilaya ya Maswa ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Simiyu.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 344,125. [1] Misimbo ya posta katika wilaya hii inanaza kwa 393...
Eneo la wilaya ni kilomita za mraba 3,398 na 2,375 km2 zinafaa kwa kilimo mengine ni misitu na milima.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
- Rice Production in the Maswa District, Tanzania and its Contribution to Poverty Alleviation, mwaka 2007, ISBN:9987-449 - 38 - 7 (pamoja na maelezo kuhusu wilaya)
- Introduction of ox-drawn weeders in Maswa District, Shinyanga Region, Tanzania
- Village Reports for Hinduki, Ipililo, Mwang’holo, and Zebeya in Maswa District, 2011
- Blogu na picha za Buyibuyi na Iyogelo Archived Desemba 21, 2015 at the Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Simiyu bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |
![]() |
Kata za Wilaya ya Maswa - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Badi | Binza | Buchambi | Bugarama | Budekwa | Busangi | Busilili | Dakama | Ipililo | Isanga | Jija | Kadoto | Kulimi | Lalago | Malampaka | Masela | Mataba | Mbaragane | Mpindo | Mwabaratulu | Mwabayanda | Mwamanenge | Mwamashimba | Mwang'honoli | Nguliguli | Ng'wigwa | Nyabubinza | Nyalikungu | Sangamwalugesha | Senani | Seng'wa | Shanwa | Shishiyu | Sola | Sukuma | Zanzui |