Lalago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lalago ni kata ya Wilaya ya Maswa katika Mkoa wa Simiyu, Tanzania yenye postikodi namba 39307 [1].

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 23,391 waishio humo.[2].

Lalago ni kata yenye jumla ya vijiji vinne: Lalago nje, Lalago ufundi, Gula na Mwakidiga. Kata hii imegawanywa na kuunda kata nyingine inayoitwa Mbaragane.

Shule za sekondari zilizopo kata hii ni: Mwagala sekondari na Lalago sekondari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
  2. Sensa ya 2012, Simiyu Region - Maswa District Council
Kata za Wilaya ya Maswa - Mkoa wa Simiyu - Tanzania

Badi | Binza | Buchambi | Bugarama | Budekwa | Busangi | Busilili | Dakama | Ipililo | Isanga | Jija | Kadoto | Kulimi | Lalago | Malampaka | Masela | Mataba | Mbaragane | Mpindo | Mwabaratulu | Mwabayanda | Mwamanenge | Mwamashimba | Mwang'honoli | Nguliguli | Ng'wigwa | Nyabubinza | Nyalikungu | Sangamwalugesha | Senani | Seng'wa | Shanwa | Shishiyu | Sola | Sukuma | Zanzui


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Simiyu bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.