Wabunge wa Tanzania 2015
Mandhari
Wabunge wa Tanzania ni wawakilishi wa taifa katika Bunge la Tanzania wakichaguliwa mara moja kila baada ya miaka mitano kuingia katika Bunge la Tanzania. Wananchi wanapiga kura katika majimbo yao. Pia, kuna viti maalum kwa wanawake na wabunge hadi 10 wanaoteuliwa na Rais na Bunge lenyewe.
Vyama bungeni tangu 2015
[hariri | hariri chanzo]Vyama vinavyofuata vina Wabunge waliochaguliwa katika uchaguzi wa 2015:
Jina na rangi |
Chama Cha Mapinduzi (CCM) | |
---|---|---|
Alliance for Change and Transparency (ACT) | ||
National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR–M) | ||
Civic United Front (CUF) | ||
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) |
( "50%" inaonyesha idadi ya wabunge waliohitajika kuwa na kura nyingi kwa uhakika bungeni) ↓ 50% | |||||
Wabunge wa Tanzania walioingia wakati wa uchaguzi wa mwaka 2015
[hariri | hariri chanzo]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Orodha ya wabunge wa Tanzania, tovuti la bunge, liliangaliwa Mei 2017
- ↑ Jimbo katika Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B'
- ↑ Jimbo katika Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B'
- ↑ Jimbo katika Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B'
- ↑ Jimbo katika Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B'
- ↑ Jimbo katika Wilaya ya Chakechake, kisiwani Pemba