Nenda kwa yaliyomo

Cheti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cheti cha kielimu,shule ya Ohio

Cheti (kutoka Kiingereza: certificate) ni hati anayopewa mtu kwa ajili ya kutambuliwa kuwa ana sifa fulani.

Cheti huweza kutolewa kwa mtu aliyehitimu mafunzo fulani au aliyefanikiwa kwa jambo fulani. Vyeti vingi hutolewa kama tuzo kwa mtu aliyefanikiwa kuhusu jambo fulani.

Vyeti vipo vya aina mbalimbali, kuna vyeti vya kitaaluma, vya kuzaliwa, vya ndoa au vya kimichezo.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cheti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.