Nenda kwa yaliyomo

Khadija Nassir Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Khadija Nassir Ali (amezaliwa tarehe 28 Juni 1990) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalumu vya Wanawake kwa miaka 20152020. [1] Amehitimu katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khadija Nassir Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.