Jacqueline Kandidus Ngonyani
Mandhari
Jacqueline Kandidus Ngonyani ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020 [1] akatudishwa vile mwaka 2020.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 25 Januari 2020 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
- ↑ Hon. Jacqueline Kandidus Ngonyani (Msongozi), tovuti ya bunge la Tanzania, iliangaliwa Aprili 2022
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |