Nenda kwa yaliyomo

Khamis Mtumwa Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Khamis Mtumwa Ali (amezaliwa 2 Mei 1982) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kiwengwa kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017