Sebastian Simon Kapufi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Sebastian Simon Kapufi (amezaliwa 3 Desemba 1966) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mpanda Mjini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017