Joseph Michael Mkundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Joseph Michael Mkundi ni mwanasiasa Mtanzania. Alichaguliwa 2015 kuwa mbunge wa Ukerewe kwa chama cha kisiasa cha CHADEMA[1]. Katika Oktoba 2018 alijiuzulu katika uanachama wa Chadema na kuhamia chama cha CCM[2].


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. Mbunge wa Chadema Ukerewe atimkia CCM, gazeti la Mwananchi Thursday October 11 2018