Philipo Augustino Mulugo
Jump to navigation
Jump to search
Philipo Augustino Mulugo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Songwe kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
![]() |
Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |