Hashil Abdallah
Hashil Twaibu Abdallah ni mhadhiri wa taaluma ya Sheria Mtanzania na hivi sasa ni Katibu Mkuu wa Biashara na Viwanda nchini Tanzania. [1] Alikuwa naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo kwa kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan mnamo Aprili 6, 2021.[2][3][4][5][6] Kwanza alikuwa Naibu Mkuu wa Kitivo cha Sheria na Mkuu wa Idara ya Sheria ya Jinai huko Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi.[7]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Mnamo 2003, alipata Stashahada ya Sheria kutoka Taasisi ya Utawala wa Mahakama, Shahada ya Sheria mnamo 2007 kutoka Chuo Kikuu cha Zanzibar na Stashahada ya Uzamili ya Sheria mnamo 2008 kutoka shule ya Sheria ya Tanzania. Alipata Shahada ya Uzamili ya mali miliki mnamo 2010 na Daktari wa Falsafa ya Sheria (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Katoliki cha Ruaha. Yeye pia ni Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, mwanachama wa Jumuiya ya Wanasheria ya Tanganyika na Jumuiya ya Wanasheria ya Afrika Mashariki.[8][9]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ National Business Council, Tanzania [@NationalTnbc] (8 Machi 2022). "Kosa la hati: Hakuna husisho kama "replace"." (Tweet). Iliwekwa mnamo 20 Mei 2023 – kutoka Twitter.
{{cite web}}:|author=has generic name (help); Cite has empty unknown parameter:|dead-url=(help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Dr.Hashil Abdallah – The Open University Of Tanzania" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-22. Iliwekwa mnamo 2021-06-21.
- ↑ https://www.mit.go.tz/administration/profile/5
- ↑ https://www.ippmedia.com/en/news/%E2%80%98appointments-have-professional-outlook%E2%80%99
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-22. Iliwekwa mnamo 2021-06-21.
- ↑ Ikulu Ikulu. "MHE.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA UTEUZI WA MAKATIBU WAKUU MANAIBU KATIBU WAKUU, NA WAKUU WA TAASISI.. | Blogu Rasmi ya Ofisi ya Rais" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-22. Iliwekwa mnamo 2021-06-21.
- ↑ "Tanzania: Samia Appoints Permanent Secretaries, Their Deputies and Heads of Institutions". allAfrica.com (kwa Kiingereza). 2021-04-05. Iliwekwa mnamo 2021-06-21.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". web.archive.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-22. Iliwekwa mnamo 2021-06-21.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". web.archive.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-22. Iliwekwa mnamo 2021-06-21.
| Makala hii kuhusu wasifu wa Mtanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |