Emmanuel Adamson Mwakasaka
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |
Emmanuel Adamson Mwakasaka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tabora Mjini kwa miaka 2015 – 2020. Pia alikuwa mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge. Amehitimu shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) Ilihifadhiwa 7 Juni 2020 kwenye Wayback Machine.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emmanuel Adamson Mwakasaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |