Nenda kwa yaliyomo

Wanu Hafidh Ameir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wanu Hafidh Ameir (amezaliwa 9 Februari 1982) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar kwa miaka 20152020.

Amechukua shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) [1].

Ni mtoto wa rais wa sita wa Tanzania, mama Samia Suluhu Hassan.[2][3][4]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-07. Iliwekwa mnamo 2020-06-07.
  2. "Hon. Wanu Hafidh Ameir". zanzibarassembly.go.tz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Machi 2021. Iliwekwa mnamo 18 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Wanu Hafidh Ameir National Assembly profile". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-07. Iliwekwa mnamo 26 Machi 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Samia Hassan Poised to Become Tanzania's First Woman President". Voice of America (kwa Kiingereza). 2021-03-18. Iliwekwa mnamo 2025-07-15.
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanu Hafidh Ameir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.