Jamal Kassim Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jamal Kassim Ali (amezaliwa 14 Novemba 1984) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Magomeni kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017