Magomeni
Mandhari
Magomeni inaweza kumaanisha
- Magomeni (Dar es Salaam) - kata ya Wilaya ya Kinondoni ndani ya jiji la Dar es Salaam- Tanzania
- Magomeni (Zanzibar) - kata ya jiji la Zanzibar ndani ya mkoa wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja- Tanzania
- Magomeni (Bagamoyo) - kata ya wilaya ya Bagamoyo ndani ya Mkoa wa Pwani- Tanzania
- Magomeni (Kilosa) - kata ya wilaya ya Kilosa ndani ya Mkoa wa Morogoro- Tanzania