Wilaya ya Kilosa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Kilosa katika mkoa wa Morogoro.

Wilaya ya Kilosa ni wilaya moja ya Mkoa wa Morogoro. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 489,513 [1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kilosa - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Berega | Chagongwe | Chakwale | Chanjale | Chanzuru | Dumila | Gairo | Iyogwe | Kasiki | Kibedya | Kidete | Kidodi | Kilangali | Kimamba 'A' | Kimamba 'B' | Kisanga | Lubuji | Luhembe | Lumuma | Mabwerebwere | Magole | Magomeni (Kilosa) | Magubike | Malolo (Kilosa) | Mamboya | Mandege | Masanze | Mbumi | Mikumi | Mkwatani | Msowero | Rubeho | Rudewa | Ulaya (Kilosa) | Uleling'ombe | Vidunda | Zombo


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kilosa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.