Wilaya ya Gairo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Gairo ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Morogoro, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012. Hadi 2012 ilikuwa sehemu ya Wilaya ya Kilosa.

Makao makuu ya wilaya yako Gairo.